mardi 29 décembre 2009

MALAIKA, KUJA

(For Mwalimu William Ndege, my London Swahili teacher)

By Tikum Mbah Azonga

Malaika
Jambo!
Habari!
Sasa, siko Kenya
Mimi Cameroon
Kwa sababu nimekasinka
Malaika, samahani. Una piga ni
Kwa nini?
Hii ni nini?
Vipi?
Ningali mgojwa
Na mahindi yangali mabichi
Kwa nini, malaika?

Nani nyumbe kubwa
Nani koti, ingawa nyekunda
Nani jogoo nyeusi
Nani maharagwe
Biskuti
Bia
Mkate
Siagi.

Sasa, ninakula samaki chungu
Jana, nilikula samaki chungu
Baadaye, nitakula samaki chungu.
Malaika, nina swali:
Kwa nini?
Hapana!

Malaika
Ninakupenda
Nisaidie, tafadhali!
Nina.
Kuja!
Jana
Kesho
Kesho kotwa
Jumamosi
Jumapili
Au Jumatatu.
Kuja!

Copyright 2009

2 commentaires:

Anonyme a dit…

i wish i could understand what this attractive article means pracxide n kubri

Tikum Mbah Azonga a dit…

Thanks for your comments. Perhaps we should do a translation.

TMA